TOP
0
0
即日起~6/30,暑期閱讀書展,好書7折起
Mama: Wito Mkuu Wa Kila Mzazi Kwa Familia

Mama: Wito Mkuu Wa Kila Mzazi Kwa Familia

商品資訊

定價
:NT$ 400 元
無庫存,下單後進貨(到貨天數約30-45天)
可得紅利積點:12 點
相關商品
商品簡介

商品簡介

Kitabu hiki kimebeba maisha halisi ya mama yangu, Ella Martin. Ninapenda kumuita "MAMA" kwa sababu ni jina linalobeba upendo kwa kila familia. MAMA ni kitabu kinachobeba upendo wa wazazi kwa kila familia. Upendo wa wazazi kwa kila familia unakamilika pale wazazi wanapofanikiwa kuishi wito mkuu wa kumjua Mungu.

Nimeandika kitabu hiki baada ya kutambua mchango wa Ella Martin katika maisha yangu na familia kwa ujumla. Maisha yake yamekuwa nuru kwangu katika kuishi wito mkuu wa kila mzazi kwa familia. Kwa jinsi alivyokuwa na ushirika na Mungu alifanikiwa kuniita; na mimi niliitika kwa kufuata matendo yake. Mchango wake kwangu na kwa ndugu zangu uligusa maisha yangu. Ella Martin alifanikiwa kutimiza kwa uaminifu wito mkuu wa kila mzazi kwa familia, ambao ni kuwaongoza watoto kumjua Mungu.

Ella Martin hakuniita kwa sauti tu ili kuishi wito mkuu, bali aliniita kwa matendo. Kama mtoto ilikuwa ni rahisi kwangu kufuata matendo yake kuliko jinsi anavyokuwa anaongea au kunifundisha. Kwa sababu alijua njia, alionesha njia na aliishi njia hiyo ilikuwa ni rahisi kwangu kuishi njia hiyo.

Dhumuni la kitabu hiki ni kunukuu wito wa mama kwangu pamoja na kuwaita wazazi wengine kuishi wito mkuu. Wazazi watafanikiwa kuwaita watoto wao kuishi wito mkuu wa kila mzazi kwa familia pale ambapo watafanikiwa kuishi wito mkuu.

Kitabu hiki kinaita kila mzazi kuwa kiongozi anayejua njia na anayeishi njia. Kuongoza ni kujua njia, kuonesha njia na kuishi njia hiyo. Kuongoza ni kuishi yale unayotaka yatokee au kuishi matokeo unayotaka kwa watoto wako. Wito mkuu kwa kila mzazi kwa familia ni kuishi maisha yanayo waongoza au kuwaita watoto kumjua Mungu.

您曾經瀏覽過的商品

購物須知

外文書商品之書封,為出版社提供之樣本。實際出貨商品,以出版社所提供之現有版本為主。部份書籍,因出版社供應狀況特殊,匯率將依實際狀況做調整。

無庫存之商品,在您完成訂單程序之後,將以空運的方式為你下單調貨。為了縮短等待的時間,建議您將外文書與其他商品分開下單,以獲得最快的取貨速度,平均調貨時間為1~2個月。

為了保護您的權益,「三民網路書店」提供會員七日商品鑑賞期(收到商品為起始日)。

若要辦理退貨,請在商品鑑賞期內寄回,且商品必須是全新狀態與完整包裝(商品、附件、發票、隨貨贈品等)否則恕不接受退貨。

定價:100 400
無庫存,下單後進貨
(到貨天數約30-45天)

暢銷榜

客服中心

收藏

會員專區